SOHNNMKenYa feat. Selly
Hip Hop/Rap HyperLink
/images/default_artist_image.jpg
song created                                

Thursday, May 01, 2008 5:05:27 AM
song updated                               

Tuesday, December 09, 2008 6:15:19 AM
IndieMusicPeople

 This song is about the recent violent clashes in Kenya, a tribute to rising DEMOCRASIES.......


Selly intro……….

Ni kilio tunalia,
Ni kilio tunalia
Nashangaa
Nashangaa
Nashangaa na wakenya nashangaa

(English)
We are amazed, we are surprised,
We are crying for our country Kenya

Selly verse

Katika nchi zote za kiafrika
Kenya imekuwa nchi moja
Yenye amani, fanaka, upendo, undugu
Wakenya twajifanya eti kwamba
Tunapigana kama vile wakoloni
Tunasahau, Kenya yetu, tumeijenga kwa jasho na damu
Basi bendera yetu haina meaning hata kidogo
Kwasababu nyeusi ni yako
Oduori, Kariuki, waKenya wote
Hiyo damu tulimwaga, miaka hamsini iliyopita
Haifai, kumwagwa, tena, na mKenya

(English)
Among all African countries
Kenya has been a beacon of peace, love, and brotherhood
Then we recently began to fight each other like the colonizers
We forget that we paid a price for the freedom of Kenya
We demean Kenya’s flag, where black represents both of us
The blood we shed 50 years ago shouldn’t be shed again

Sohnn verse

Mkikuyu kachukua panga, mkalee kachukua mshale
Mkikuyu kachukua rungu, akamweka mwenzake nundu
Nikilio pande zote wenzetu mia nane kakata kamba
Wengine laki tatu kakosa mavazi, malazi, na nyumba
Watoto wanalia, wamasa wanalia
Wazee wanaruka fence, na wengine wanachoma benz
Nashangaa na wakenya nashangaa
Nashangaa na wajaka nashangaa
Nashangaa na wakale nashangaa
Nashangaa wakikuyu nashangaa

(English)
One tribe rose against the other
Cries were heard from all over
Some had no clothes, food, or homes
The children and the women are crying
The men over the fence to kill each other
Others burning businesses, homes and cars
I am surprised by this Kind of Kenya
Where tribes that have been living together
Rise and kill each other for politics sake

Selly bridge

Iko nini na wewe Nderitu
Iko nini na wewe Ocholla, Shikwekwe

Sohnn verse continued

Viongozi wameweka sumu katika mawazo ya vijana wachanga
Eti wanasahau uongozi wa kesho
Uko mikononi mwa ruto na wangeshi?

(English)

Our leaders have poisoned the minds of our youth
Forgetting that they are the leaders of tomorrow

Selly Verse 2

Kama wewe ni mKenya sema Amani
Kama wewe ni mKenya sema upendo
Mkenya siyo nguo, mKenya siyo mavazi
Mkenya ni mimi na wewe, kutoka pande zote
Kama wewe ni Mkenya sema Amani
Kama wewe ni Mkenya sema mimi ni Mkenya
Mimi ni Mkenya (rep)
Sitaki vita, sitaki ukabila, sitaki vita
Agwambo wacha, wacha pressure
Kibaki sare, wacha pressure
Kalonzo wacha, wacha pressure
Nimechoka, nimechoka, nimechoka

(English)
We as Kenyans ought to live in peace and love
Kenyan isn’t defined by clothes or what we have
Being Kenyan is me and you
And I am proud of being a Kenyan
No politician will change that

Sohnn outro

Waambie, wacha ukabila
Mimi ni Mkenya
Sitaki ukabila, najivunia uKenya wangu
Ahsante sana

(English)

I am saying one more time
I am a Kenyan
I am proud of being a Kenyan
Thank you

x
    IndieMusicPeople & IndieMusicPeople.com                         ©2015-2016 Independent Artists Company                                             All Rights Reserved